Добро пожаловать
Вход

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA: IBADA YA EVENING GLORY 17/04/2020

Спасибо! Поделитесь с друзьями!

URL

Вам не понравилось видео. Спасибо за то что поделились своим мнением!

К сожалению, только зарегистрированные пользователи могут создавать списки воспроизведения.
URL


Добавлено от Admin В Фэнтези
13 Просмотры

Описание

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA
IBADA YA EVENING GLORY
17/04/2020

UJUMBE WA LEO: "HATA HILO LITAPITA NI SWALA LA MUDA TU "

" IT IS JUST MATTER OF TIME"

(USIKATE TAMAA MUNGU HAJAKUSAHAU)

Isaya 43 : 22 - 26
Mwanzo 30 : 32
Mwanzo 30 : 1 - 2
Zabari 6 : 6 - 7
Zaburi 69 : 3
Mwanzo 30 : 23
Yeremia 20 : 17 - 18

Isaya 43 : 22 - 26


22 Lakini hukuniita, Ee Yakobo, bali umechoka nami, Ee Israeli.

23 Hukuniletea wana-kondoo kuwa kafara zako, wala hukuniheshimu kwa dhabihu zako. Sikukutumikisha kwa matoleo, wala sikukuchosha kwa ubani.

24 Hukuninunulia manukato kwa fedha, wala hukunishibisha kwa mafuta ya sadaka zako; bali umenitumikisha kwa dhambi zako, umenichosha kwa maovu yako.

25 Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.

26 Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.

Mwanzo 30 : 32

32 Nitapita katika wanyama wako wote leo, na kutoa huko kila mnyama aliye na madoadoa na marakaraka, na kila mnyama mweusi katika hao kondoo, na aliye na marakaraka na madoadoa katika mbuzi; nao watakuwa mshahara wangu.

Mwanzo 30 : 1 - 2

1 Naye Raheli alipoona ya kuwa hamzalii Yakobo mwana, Raheli alimwonea ndugu yake wivu. Akamwambia Yakobo, Nipe wana; kama sivyo, nitakufa mimi.

2 Yakobo akamghadhibikia Raheli, akasema, Je! Mimi ni badala ya Mungu, aliyekuzuilia uzao wa mimba?

Zabari 6 : 6 - 7

6 Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakieleza kitanda changu; Nalilowesha godoro langu kwa machozi yangu.

7 Jicho langu limeharibika kwa masumbufu, Na kuchakaa kwa sababu yao wanaoniudhi.

Zaburi 69 : 3

3 Nimechoka kwa kulia kwangu, Koo yangu imekauka. Macho yangu yamedhoofu Kwa kumngoja Mungu wangu.

Mwanzo 30 : 23

23 Akapata mimba, akazaa mwana, akasema, Mungu ameondoa aibu yangu.

Yeremia 20 : 17 - 18

17 kwa sababu hakuniua nilipotoka tumboni, na hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, na mimba yake sikuzote nzito.

18 Nalitoka tumboni kwa sababu gani, kuona taabu na huzuni, hata siku zangu ziharibike katika aibu?Mhubiri: Mwl. Emilian Katubayemo

Kwa maombi na ushauri:
Mch. Dkt. Eliona Kimaro.
Simu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

Написать комментарий

Комментарии

Комментариев нет.
RSS
Яндекс.Метрика