Добро пожаловать
Вход

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA MORNING GLORY 09/05/2020

Спасибо! Поделитесь с друзьями!

URL

Вам не понравилось видео. Спасибо за то что поделились своим мнением!

К сожалению, только зарегистрированные пользователи могут создавать списки воспроизведения.
URL


Добавлено от Admin В Фэнтези
10 Просмотры

Описание

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA
IBADA YA MORNING GLORY 09/05/2020

UJUMBE WA LEO: "WEKA HISTORIA"
(Itabaki historia)

4. Usikubali kushindwa, Hakikisha unashinda
5. Epuka changamoto za kifamilia zinazo Ondoa umoja

1 Yohana 5 : 4
Yohana 16 : 33
Ufunuo 2 : 16 - 17
2 Timotheo 4 : 7 - 8
Zaburi 133 : 1 - 3
Mwanzo 4 : 7, 37 : 4

1 Yohana 5 : 4


4 Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.

Yohana 16 : 33

33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.

Ufunuo 2 : 16 - 17


16 Basi tubu; na usipotubu, naja kwako upesi, nami nitafanya vita juu yao kwa huo upanga wa kinywa changu.

17 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea.

2 Timotheo 4 : 7 - 8


7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;

8 baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.

Zaburi 133 : 1 - 3


1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.

2 Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.

3 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.

Mwanzo 4 : 7, 37 : 4


7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.

4 Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.Mhubiri: Mwl. Emmanuel Shemdoe

Kwa maombi na ushauri:
Mch. Dkt. Eliona Kimaro.
Simu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

Написать комментарий

Комментарии

Комментариев нет.
RSS
Яндекс.Метрика